Skip to main content

Rais amemteua Mej.Jen Mstaafu Hamis R. Semfuko kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TAWA

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mej.Jen Hamis R. Semfuko kuwa mwenyeketi wa Bodi ya TAWA.