Skip to main content

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania Dkt.James Wakibara na Kaimu Mkurugezi wa Utalii na Huduma za Biashara watembelea ofisi za KDU-Bunda na Pori la akiba Kijereshi

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAWA Dkt. James Wakibara anendelea na mpango wake wa kutembelea vituo na kuongea na wafanyakazi wa TAWA nchini.
Katika Ujumbe wake alipotembelea na kuongea na Watumishi wa KDU Kanda ya Serengeti, Dkt James Wakibara amewahimiza watumishi wote nchini juu "umuhimu na ulazima wa mabadiliko ya kiutendaji kutoka walipokuwa Idara ya Wanyamapori na sasa Mamlaka ya Wanyamapori nchini.